Physical Address
Delta Corner Tower,
Waiyaki Way, Westlands, Nairobi, Kenya.
Contact us:
Email: info@todaysw.com
Physical Address
Delta Corner Tower,
Waiyaki Way, Westlands, Nairobi, Kenya.
Contact us:
Email: info@todaysw.com
Habari za hivi punde kuhusu matukio ya ndani na nje ya nchi, zikiangazia siasa, jamii, na masuala muhimu yanayoathiri maisha ya watu.

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 50, anayefahamika kwa jina la Maselina Mtewele, anashikiliwa na polisi mkoani Njombe kwa tuhuma za kumuua mumewe, Gwido Kigaya (59), kwa kumkata kwa panga…

Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemhukumu kunyongwa dereva bajaji mwenye umri wa miaka 28 baada ya kutiwa hatiani kwa kumuua mtoto wake mdogo katika tukio lililotajwa kuhusishwa na tamaa ya fedha.

Leo Machi 17 2026 imetimia miaka mitano tangu kutokea kifo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya tano, Dr John Pombe Magufuli. Daraja la Kigongo-Busisi, ni moja ya…
Huduma za usafiri wa Anga katikati uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai, Zimerejea rasmi siku ya Leo baada ya kuwa zimesitishwa kwa muda kufuatisha tukio la kungua kwa tanki…

Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara imeamuru kufungwa rasmi kwa kampuni ya Sahara Media Group Limited wamiliki wa Star Tv, Kiss FM pamoja na Radio Free Africa baada ya kubainika kuwa…

Mamlaka za Kenya zimemkamata raia wa China katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta baada ya kudaiwa kujaribu kusafirisha maelfu ya mchwa nje aina ya Queen Garden kinyume…

Mahakama jijini Brazzaville imemhukumu rais wa Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Congo (FECOFOOT), Jean-Guy Blaise Mayolas, kifungo cha maisha jela kufuatia kesi ya ubadhirifu wa fedha za maendeleo ya…

DAR ES SALAAM/NAIROBI – Mfanyabiashara na mwanasiasa wa zamani wa Tanzania Rostam Azizi amekuwa mbia mkuu wa Nation Media Group baada ya kununua asilimia 54.08 ya hisa zilizokuwa zinamilikiwa na…

RUKWA, Tanzania – Wakazi wa Mkoa wa Rukwa wanatarajiwa kuanza kupata umeme kutoka Gridi ya Taifa ifikapo Mei 2026 baada ya kukamilika kwa mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa…

Aliyekuwa Rais wa Ghana John Dramani Mahama amewasili Tanzania kama mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 20 ya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yanayofanyika Arusha. John…