Physical Address
Delta Corner Tower,
Waiyaki Way, Westlands, Nairobi, Kenya.
Contact us:
Email: info@todaysw.com
Physical Address
Delta Corner Tower,
Waiyaki Way, Westlands, Nairobi, Kenya.
Contact us:
Email: info@todaysw.com
Habari za hivi punde kuhusu matukio ya ndani na nje ya nchi, zikiangazia siasa, jamii, na masuala muhimu yanayoathiri maisha ya watu.

Iran imeanza siku ya Jumapili kwa kutangaza kifo cha kiongozi wake mkuu, Ayatollah Ali Khamenei, mwenye umri wa miaka 86, kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari vinavyomilikiwa na serikali, na…

Afghanistan na Pakistan zimeingia katika vurugu za kijeshi kando ya mpaka unaogawanya nchi hizo wawili, baada ya Afghanistan kuzindua mashambulizi makubwa dhidi ya ngome za kijeshi za Pakistan na Pakistan…

Jeshi la majini la El Salvador limekamata meli iliyokuwa ikipeperusha bendera ya Tanzania, yenye usajili wa Zanzibar, baada ya kubainika kubeba tani 6.6 za dawa za kulevya aina ya cocaine…

Alphonce Felix Simbu, mwenye umri wa 33, ameandika historia kwa Tanzania baada ya kushinda medali ya dhahabu ya kwanza kabisa katika mashindano ya mbio za marathon — World Athletics Championships…

Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa mjini Nairobi na mamlaka hiyo, maafisa sita wa polisi watashtakiwa kwa makosa ya mauaji na unyanyasaji, baadhi wakituhumiwa kuhusika kwa vitendo vya kufyatua risasi kiholela…

Kikosi cha Yanga Sc kilicho chini ya Kocha Msaidizi wa timu hiyo Charles Mkwassa kimeanza safari leo kwa basi kuelekea Shinyanga kuifuata Mwadui FC.Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utapigwa Juni 13,…

Marekani imetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuanzisha uchunguzi na hatimaye kukamatwa kwa wale wote waliohusika na shambulio la kiongozi wa upinzani nchini humo Freeman Mbowe. Mbowe alivamiwa na kushambuliwa…

Burundi imempoteza mtoto wake wa kiume mwenye kustahili heshima, rais wa Jamhuri, kiongozi wa juu wa uzalendo wa taifa,” msemaji wa serikali Prosper Ntahorwamiye katika taarifa. Nkurunziza, alieongoza taifa hilo…

ARISTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa ratiba kwake imekuwa ngumu kwa kuwa ana mechi ngumu na za ushindani ikiwa ni pamoja na ile ya Simba, Julai Mosi.…